Wema Sepetu afunguka kuhusu tuhuma za kutoka na Mkongo Man apocalypse
"Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile... Sasa
nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu... Im
Tired... Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man... I only know him
as a friend... So please guys.... Niacheni kidogo tafadhal...
Alam-siq...!!! And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa
na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart...
Mwanaume wangu nadhani anajulikana... Sasa endeleeni kumpa huyo baba
attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia
followers... Na nyie mnampa airtime ya kutosha.... So anaendelea...
Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira... But nakaa tu kimya...
This is too much now..." Wema Sepetu
Comments
Post a Comment