Posts

Showing posts with the label Sports

Tazama Hapa Video ya Goli la Mbwana Samatta Alilopachika Katika Mechi ya leo Kati ya KRC Genk na Oastende

Image
Kwa mara ya kwanza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo inaongozwa na kocha lakini inachezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, imempa nafasi ya kuanza katika mchezo wa leo dhidi ya klabu ya KV Oastende. Samatta amepata nafasi hiyo ya kuanza mchezo wa leo March 13, ikiwa ni zaidi ya mechi nne amekuwa akiichezea timu hiyo akitokea benchi. Baada ya Samatta kuanza first eleven, alipachika  goli la kwanza kwa timu yake dakika ya 25 ya mchezo, lakini hilo pia ni goli lake la pili toka ajiunge na KRC Genk. Samatta Mbwana Ally forward of Krc Genk looks behind him during the Jupiler Pro League match between Royal Mouscron Peruwelz and KRC Genk in the Le Canonnier Stadium in Mouscron, Belgium. *** MOUSCRON, BELGIUM - 06/02/2016  Photo by Nico Vereecken / Photonews *** Goli la Samatta lilifuatiwa na neema kwa KRC Genk, kuibuka na ushidi wa goli 4-1, magoli ya KRC Genk yalifungwa na Mbwana Samatta dakika ya 25, Balley dakika ya 39, Pozuelo...

TIMU ya Newcastle Yamtangaza Huyu Kuwa Kocha Mpya Baada ya Kumtimua Steve McClaren

Image
Rafael Benitez ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Newcastle kufuatia kufutwa kwa aliyekuwa kocha wa kilabu hiyo Steve McClaren. Benitez amewahi kuzinfundisha timu za Liverpool,Chelsea,Real Madrid,Intermilan na Valencia anaichukua timu hiyo ikiwa imesalia pointi moja kushushwa katika jedwali la ligi ya Uingereza huku kukiwa kumebakia mechi kumi pekee. Benitez ametia saini kandarasi ya miaka mitatu na kuwaleta makocha Fabio Pecchia,Francisco de Miguel Moreno na Antonio Gomez Perez.

Haya Hapa Matokeo ya Mechi ya Yanga na APR ya Rwanda iliyofanyika Jioni ya Leo Huko Rwanda

Image
YANGA SC imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia hatua ya mwisho ya mchujo ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji APR katika mchezo wa kwanza wa raundi ya Kwanza jioni ya leo Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda. Asante kwa wafungaji wa mabao hayo, beki Juma Abdul Jaffar kipindi cha kwanza na kiungo Thabani Scara Kamusoko kipindi cha pili na Yanga sasa watahitaji hata sare mchezo wa marudiano ili kusonga mbele.

Portuguese newspaper claim Cristiano Ronaldo is expecting a 2nd child following his goal celebration

Image
Popular Portuguese tabloid Correio da Manha have claimed that Cristiano Ronaldo's goal celebration against Celta Vigo is a sure sign that the Real Madrid star is expecting a second child from a surrogate mother. The Portuguese captain stuffed the ball inside his jersey following one of his four goals in Real Madrid's 7-1 win at the Santiago Benabeu during the weekend. Correio da Manha insist that they have contacted Ronaldo's family: “we contacted his family, but both his sisters and his mother are remaining silent”, In the report they also alleged that Ronaldo plans to use a surrogate for future children.

Full Time ya Azam FC Vs Yanga ipo Hapa, Juma Abdul Afanya Maajabu Ajifunga na Kukomboa Goli....

Image
Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea leo katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, vilabu vya Azam FC na Dar Es Salaam Young Africans, vilishuka dimbani kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara. Takwimu zinatajwa kuwa Yanga na Azam FC kabla ya mchezo wa leo wamekutana jumla ya michezo 15 kila timu ikiwa imeshinda mara tano na kutoka sare mara tano. Katika mchezo wa leo March 4 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam Yanga na Azam FC zimemaliza mchezo huo kwa sare ya goli 2-2. Azam FC ndio walikuwa wa kwanza kupata goli la uongozi dakika ya 11, baada ya beki wa Yanga Juma Abdul kujifunga na baadae kusawazisha goli hilo dakika ya 28, Yanga waliongeza kasi baada ya kusawazisha na dakika ya 41 Donald Ngoma akapachika goli la pili. Kwa upande wa Azam FC wao walisawazisha goli lao dakika ya 70, kupitia kwa nahodha wao John Bocco ambaye ndio mchezaji anayeongoza kwa magoli ya kuifunga Yanga wakutanapo dhidi ya Azam FC, kwani hilo lilikuwa goli la nane kwa Bocco ...

C.O.D United presents teams for new season, promises to continue culture of excellence

Image
Former Lagos FA Cup Champions C.O.D United FC of Lagos held its squad presentation event with the players and management declaring their readiness to continue the success the club has achieved in its short existence. The ceremony which was held at the C.O.D City grounds of the club saw all the 7 teams in the C.O.D United football structure-the only club in Nigeria with such a structure- presented to fans also featured the unveiling of former 3SC, Bukola Babes and Sharks of Port Harcourt coach Festus Allen as manager of the first team and former Super Falcons captain and manager Eucharia Uche as manager of C.O.D United Amazons, the clubs Ladies team. Special guest at the occasion was Pastor Idowu Iluyomade, Pastor in Charge of City of David Parish of the Redeemed Church of God and other pastors of the church. The C.O.D Marching band, the only band in Nigerian football also added colour and glamour to the ceremony. Speaking at the event, Chief Executive of the clu...

Footballer loses teeth after bloody clash with teammate in Chelsea match (Photos)

Image
A Norwich player Robbie Brady lost two teeth in last night's loss to Chelsea after his teeth collided with the forehead of his teammate, Gary O'Neil. The players were both going for an aerial ball and weren't unaware of each others jump for the ball leaving them injured and needing stitches. More photos after the cut.  

Jury finds Footballer Adam Johnson not guilty on one count of sexual activity with a child

Image
Footballer Adam Johnson has been found not guilty of one count charge of sexual activity with a 15 year old girl, while the jury is still undecided on the other count of sexual activity by penetration, with the prosecuting counsel saying Johnson admitted the first two charges of kissing and grooming an underage girl so he could be set free from the more serious counts of sexual activity with a child.   Arriving at court today, Johnson was again accompanied by his ex-girlfriend Stacey Flounders, who has supported him during the trial and gave evidence for the defense, despite claiming she and the sacked footballer have split up. The prosecuting counsel say Johnson had oral sex with the 15 year old girl and even penetrated her but the player and the defense counsel say he only kissed the girl.   Judge Jonathan Rose finished his summing up to the jury yesterday before telling them they should strive to reach unanimous verdicts. He told t...

Man U 3-2 Arsenal (18 year old rookie Rashford becomes internet sensation after thrilling display)

Image
Arsenal started the match knowing that a win against the Old Trafford side will put them within touching distance of league leaders Leicester City, but were not helped by the damning statistic of having won just once in the last thirteen visits to Old Trafford. Arsenal had a full strength team to choose from with the core of Mesut Ozil, Alexis Sanchez, Welbeck, Coquelin and Walcott too much for comparison with Man Utd's youngsters Varela, Lingard, Depay and Rashford. Arsenal with more to fight for, pressurized Man U from the start while Man U were happy to concede possession and counter attack on the break, De Gea made an important save to keep Man U in the game. An early counter attack just before the halfway point of the first half resulted in a superb strike from 18 year old rookie Marcus Rashford who was just making his second start for the club. Two minutes later , the same Rashford surprised the Arsenal defence and his header gave Man U a two goal le...

Nyota ya Mbwana Samatta Yaanza Kung'aaa Ubelgiji Aipatia Timu yake Goli la Ushindi Jioni Hii

Image
Nyota ya Samatta imeanza kuonekana Baada ya leo kuipatia timu yake ya Genk bao lililowapa ushindi dhidi ya timu ya Brugge, Akiingia kutoka Benchi Dakika ya 77 wakati matokeo yakiwa mbili kwa mbili dakika ya 81 Mbwana Sammatta alipachika bao la Tatu kwa Genk ambapo matokeo yalibaki hivyo mpaka mpira unaisha dakika ya Tisini Genk 3 Brugger 2, Brugge ndio timu inayoongoza ligi hiyo kwa sasa

Mtazame Rais wa TFF Jamal Malinzi Akieleza Kuhusu Tuhuma za Upangaji wa Matokeo...Adai Ahusiki Katika Ujinga Huo...

Image
Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Jamal Malinzi February 23 wakati wa kusaini mkataba wa kusaidia maendeleo ya soka la wanawake Tanzania na taasisi ya Karibu Tanzania, amezungumzia kuhusu tuhuma za upangaji matokeo katika michezo ya mwisho ya Ligi daraja la kwanza iliyomalizka hivi karibuni. Jamal Malinzi aliyasema haya  “Upangaji wa matokeo ni kosa kubwa katika soka, na halitakiwi kufumbiwa macho, TFF imeshitaki suala hili kwa kamati ya maadili ya TFF na majibu yatapatikana March 20, kuhusu mimi kuhusika huo ni uzushi, mimi naongoza taasisi kubwa siwezi kuunga mkono au kushiriki katika huo ujinga” Chanzo: Millardayo

Lol. Footballer shows referee his own red card seconds after team mate was red-carded (photos)

Image
Lol. The kinda things that happen in the world of football. Trabzonspor player Salih Dursin was furious after a referee in a Turkish league match gave the marching orders to his teammate Luis Cavanda. Dursin picked up the referees card after it fell on the floor and shoved it in the referee's face. The Referee, angry with such bizarre show of disrespect by the player, gave Dursin his own red card leaving his team with only 8 outfield players. See the video after the cut... Watch video below... Violence and player disobedience to referees and racism is on the rise in Turkish football. In October 2015, Trabzonspor club president Ibrahim Haciosmanoglu locked four officials in their stadium following a draw with Gaziantepspor. Turkish president Recep Tayyip was forced to later intervene and the referees were released after four hours.

Photos: Board member of FC Barcelona of Spain visit Ambode...

Image
A Board member of FC Barcelona of Spain, Pau Vilanova i Vila Abadal, and his team, paid a courtesy visit to the Governor of Lagos state Akinwunmi Ambode at the Lagos House, Ikeja, today Feb. 22nd. The International Football team is in Lagos to liaise with the state government on how to set up an Academy. The team were at Agege Stadium to carry out inspection. See more photos after the cut...

Kwanini Shaffih Dauda Anasema Abdi Banda wa Simba Alistahili Kadi Nyekundu?

Image
Jumamosi February 20, 2016 umechezwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Yanga vs Simba (Dar es Salaam derby) na kuishuhudia Yanga ikipata ushindi wa pilli wa goli 2-0 dhidi ya Simba kwa mara ya pili kwenye msimu huu. Mengi yamezungumzwa baada ya mchezo huo lakini huu ni mtazamo wangu baada ya kuufatilia mchezo ho kwa umakini mkubwa . Kabla ya Abdi Banda kuoneshwa kadi nyekundu na kuiacha Simba ikiwa pungufu kwa mchezaji mmoja hali ya mchezo ilikuwaje? Kabla ya kadi nyekundu kutolewa kwa Abdi Banda, game ilikuwa ime-balance na Simba walikuwa wameitawala Yanga kwenye eneo la midfield lakini baada ya kadi nyekundu ya Banda, ikailazimu Simba kumshusha Majabvi kwenye nafasi ya ulinzi wa kati. Katika eneo la kiungo wakabaki Ndemla, Kazimoto na Mkude Yanga wakawa wengi kwenye eneo la katikati. Kadi nyekundu iliwaathiri kwa kiasi gani wachezaji wa Simba? Namna ambavyo wachezaji wa Simba walivyochukulia tukio la kutolewa kwa Abdi Banda iliwashus...

UPDATES: Yanga wanaongeza bao la 2 , yanga 2 simba 0. dk ya 28 kipindi cha pili.

Image
  Limefungwa na Khamis Tambwe.

Check: Pichaz 12 za mbwembe za mashabiki wa Simba na Yanga kuanzia mtaani hadi Taifa timu zikifanya warm up

Image
Mtu wangu wa nguvu leo February 20 ndio siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka la Tanzania , kwani ndio siku ambayo mashabiki wa soka la Tanzania watapata nafasi ya kushuhudia mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu, baada ya mchezo wa mzunguuko wa kwanza kumalizika kwa Yanga kuifunga Simba goli 2-0. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mbwembwe za mashabiki kuanzia mitaani hadi Taifa pamoja na timu zikifanya warm up.