TIMU ya Newcastle Yamtangaza Huyu Kuwa Kocha Mpya Baada ya Kumtimua Steve McClaren
Benitez amewahi kuzinfundisha timu za Liverpool,Chelsea,Real Madrid,Intermilan na Valencia anaichukua timu hiyo ikiwa imesalia pointi moja kushushwa katika jedwali la ligi ya Uingereza huku kukiwa kumebakia mechi kumi pekee.
Benitez ametia saini kandarasi ya miaka mitatu na kuwaleta makocha Fabio Pecchia,Francisco de Miguel Moreno na Antonio Gomez Perez.

Comments
Post a Comment