Posts

Showing posts with the label Udaku

Jokate na Ali Kiba Wamwagana

Image
Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo ambao walikuwa wachumba walioshibana, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ wanadaiwa kumwagana, Habari ya mjini kwa sasa ni juu ya wawili hao ambao walikuwa gumzo kwa watoto wa mjini, kwa kila mmoja kuchukua hamsini zake na kufanya yake tofauti na walivyokuwa awali huku chanzo cha kutengena kwao kikitajwa kuwa ni wazazi wa sehemu zote mbili kutoridhiana. Inadaiwa kuwa, mbali na ishu ya wazazi, hivi karibuni Jokate na Kiba waliingia kwenye gogoro kubwa la kimapenzi baada ya kufumaniana kwenye simu, jambo ambalo limeendelea kutokea huku jamaa akiongoza kukutwa na meseji kwenye simu yake za mwanamke mmoja anayedaiwa kuishi nje ya Tanzania. “Ukisema nikusimulie juu ya kumwagana kwa Jokate na Kiba basi tunaweza kukesha ila mbali na mambo ya wazazi, kwa kifupi tu ni kwamba, hawa watu wameingia kwenye mgogoro na kilichokuwa kikiwagombanisha mara nyingi ni uhusiano wao wa zamani.” “Mara ...

Kimenuka: Wema Sepetu Amshukia Kajala Masaja..Adai ni Mtu Mzima For Nothing na Hana Akili..Awaponda Washauri wake Pia

Image
Wema Sepetu Akizungumza katika kipindi cha Take one cha Clouds TV Amesema Anamchukulia Kajala kama mtu Ambae Hawajawahi kuonana na wala hamfahamu Wema Amedai Kajala ndio aliyemkosea na mpaka wakagombana na urafiki kufa lakini Kajala Japo ni mtu mzima kuliko yeye hajawahi hata siku moja kumtafuta na kumkalisha chini na kumuomba msamhaa kwa aliyomfanyi, pia amewatupia lawama washauri wake na kudai wanamshauri vibaya ' Mimi sina kinyongo na mtu, unajua mtu ambaye ana kinyongo na mtu ni mtu ambaye hawezi kukaa bila kumuongelea mtu fulani. Mimi sijawahi kukaa na kumuongelea Kajala na nimemchukulia kama ni mtu ambaye ameshapita kama upepo. Hajui kutumia utu uzima wake ni mtu mzima for nothing, ni mtu mzima fulani lakini hana akili. Sio tu hana akili pia naona pia washauri wake ni wabaya ,” alisisitiza Wema. Ikumbukwe Kiini cha Ugomvi wao ni Baada ya Kajala Kusemekana Ametoka na Bwana wa Wema Sepetu wa Kipindi hicho CK....  

HII NOMAAAA!!!!! CHEKI MASTAA WANAODAIWA KUWAUZA WENZAO KWA WANAUME WENYE PESA WATAJWA

Image
MASTAA kadhaa hapa Bongo wamekanyaga skendo ya kudaiwa kuwauza wenzao kwa wanaume ambapo katika orodha hiyo wamo Lungi Mwaulanga,Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ na Maimartha Jesse. Chanzo cha habari kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, mastaa hao ndiyo wamekuwa wakitumika kuwaunganisha wasaniii wenzao kwa mapedeshee huku wao habari hii, waandishi wetu walizungumza na wahusika ambao kila mmoja alifunguka kivyake. LUNGI: Mh! Mimi mtu akimtaka mtu f’lani huwa nampa namba tu, wanajuana wenyewe, kwani dhambi? MAI: Mimi niwauze wenzangu, acha hizo bwana, mimi nauza bidhaa zangu. ANTI LULU: Hivi kumpa mtu namba ya staa ni kumuuza? wakiambulia ‘cha juu’. “Wanafanya hako kabiashara kishkaji sana, akitokea mwanaume kumtaka staa f’lani wao ndiyo wanagawa namba au kuwaunganisha kabisa kisha nao wanalipwa. Katika kubalansi Source:Global Publishers

LINAH SANGA ABAMBIWA HASWAAA!!!! NA MH. DIWANI ....NI KWENYE PARTY YA SHILOLE KUJIPONGEZA KUACHANA NA NUHU MZIWANDA

Image
Diwani Baba Levo Akibambia Mtoto HII ni aibu ya kufungulia mwaka 2016! Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Mwanga Kigoma-Kaskazini, Clayton Revocatus ‘Baba Levo’, amenaswa laivu akimbambia staa wa Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ usiku mnene, Ijumaa limeshuhudia tukio hilo mwanzo mwisho. SIKU YA TUKIO Tukio hilo la aina yake lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 29, Mwaka huu Kijitonyama jijini Dar, ambapo wawili hao walikuwa wamehudhuria kwenye bonge la pati lililokuwa limeandaliwa na msanii mwenzao Zuwena Mohamed ‘Shilole’. NI PATI YA KUACHANA Shilole aliandaa sherehe hiyo maalum kwa lengo la kufurahi pamoja wakati akijipongeza baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. BABA LEVO NDIYE MC Wakiwa kwenye sherehe hiyo, Baba Levo alikabidhiwa jukumu la kuwa mshehereshaji (MC) wa pati hiyo, ambapo alianza kwa kuwakaribisha wageni wote waalikwa kisha kuianza sherehe rasmi. MTUNGI MDOGOMDOGO Kama ilivyo ada ya watoto wa mjini...

NUH MZIWANDA AACHWA NA SHILOLE , SHILOLE AMTAJA MPENZI WAKE MPYA MWANAMUZIKI KUTOKA UGANDA, ADAI ‘’NUH HANIPENDI"

Image
Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda. ‘’ Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’ ’Alisema Shilole. ‘’ Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo mimi amechukua tuzo ya BET mwaka huu,ananipenda na mimi nampenda sana ,’’Alisema Shilole.

ZA MWIZI AROBAINI !!! ANG'ATWA NA NYOKA AKIZINI NA MKE WA MTU KICHAKANI.

Image
Kijana mmoja shija kasamwa mwenye umri wa miaka 28,leo mchana amejikuta akipata masahibu ambayo iwapo atapona kamwe hatayasahau kabisa ktk maisha yake. Kijana huyo mkazi wa mkoa wa Shinyanga ktk kijiji cha Chela ameng'atwa na nyoka mwenye sumu kali akiwa msituni akivunja amri ya sita na mke wa mtu. Inasemekana ndio ilikuwa tabia yake kufanya uchafu huo na mwanamke huyo asiye mwaminifu ktk ndoa yake. Sasa leo kama kawaida yao walijirusha msituni,wakiwa huko kabla hawajaanza kufanya mapenzi walisikia sauti za watu wakija upande waliokuwepo ndipo wakaamua kuingia kichakani kwa hofu ya kuonekana,ndani ya kile kichaka kikubwa kilichokuwa kimefungasha miti mingi kiasi kwamba haikuwa rahisi kuonekana kwao,ndipo wakaamua kufanya uchafu wao eneo hilo ndipo wakiwa bado wanaendelea na starehe ilihali yule kijana akiwa kashusha suruali yake na makalio yake kubaki wazi alishtuka ghafla kang'atwa na nyoka huyo anayesadikiwa kuwa ni aina ya cobra,kelele za mau...

PICHA: SHILOLE AFUTA TATTOO YA NUH MZIWANDA KIFUANI, YASEMEKANA PENZI LAO LIMEINGIA MCHANGA!

Image
Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’. Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake. Tatoo Mpya Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila mmoja amefuta picha zao za pamoja kwenye akaunti zao za Instagram. Pia weekend iliyopita Shishi alifanya sherehe nyumbani kwake ambayo hakusema sababu ya sherehe hiyo, lakini hakuwa na Nuh na wala hakupenda kumzungumzia pale alipoulizwa na marafiki aliowaalika.

Aunty Ezekiel And Wema Sepetu Have Just Forgotten The Past To Start Afresh !

Image
Aunty Ezekiel and Wema Sepetu have patched up !...it is known the two former beauty queens turned actresses were best friends but they came into enmity and in May this year the situation worsened after Aunty Ezekiel promoted Zari All White Party held at Mlimani City, Dar es salaam something which didn't please Wema. Even when Aunty gave birth to her first child a few months ago she revealed Wema Sepetu didn't even bother herself to visit Aunty and her daughter at her home. But it seems the two hot celebs have buried the hatchet to start new chapter, after they were snapped in Mombasa, Kenya last week at Nzumari Awards, and the two shared the photos on their accounts.

KIVAZI KIFUPI CHAMTOKEA PUANI SHAMSA FORD

Image
Muigizaji wa filamu, Shamsa Ford ameonja joto la jiwe hivi karibuni baada ya kuambulia matusi katika mtandao wa Instagram kutokana na kuvaa kivazi kifupi akiwa mbele ya mtoto wake wa kiume. Muigizaji huyo mahiri wa filamu ya Chausiku na Bado na Tafuta, ametoa ya moyoni kupitia mtandao huo baada ya kutukanwa na mashabiki. “ Maisha yangu hayawahusu. Ukiona hufulahishwi na chochote toka kwangu ni unfollow. Hukulazimishwa kunifollow. Yaani kuniona kwenye movie ndo mnajifanya mnanijua mpaka mnipangie maisha ya kuishi.sikilizeni nitavaa nitavyojisikia mm hata nikiamua kukaa uchi kabisaa ni mm na wala hayakuhusu. Ww subili movie Itoke ndo unikosoe. Mnaboa sana. Hebu walekebisheni ndugu zenu wanaovaa madila mchana usiku ni vyangudoa ,” aliandika Shamsa. Haya ni maoni ya mashabiki baada ya Shamsa Ford kuweka picha akiwa mevaa nguo fupi mbele ya mwanae. Salumkiemba218 : Angalia huyo mwanao asije akakutamani watoto wa sikuhizi ni shida. Annmlokole : Tembea uchi bwana unamu...