Haya Hapa Matokeo ya Mechi ya Yanga na APR ya Rwanda iliyofanyika Jioni ya Leo Huko Rwanda



YANGA SC imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kuingia hatua ya mwisho ya mchujo ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji APR katika mchezo wa kwanza wa raundi ya Kwanza jioni ya leo Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda.
Asante kwa wafungaji wa mabao hayo, beki Juma Abdul Jaffar kipindi cha kwanza na kiungo Thabani Scara Kamusoko kipindi cha pili na Yanga sasa watahitaji hata sare mchezo wa marudiano ili kusonga mbele.

Comments

Popular posts from this blog

Locanda La Scuola, Lusiana / Italy

Madai ya Diamond Kutoka na Kajala Kimapenzi Yapigiliwa Msumari Kwa Picha Hizi za Dada Yake Diamond na Kajala

Masia La Garriga, Castelladral / Spain