Tazama Hapa Video Mpya ya Wimbo wa Vanessa Mdee Unaitwa Niroge.....



Single yake iliyopita ilikua ‘Never Ever‘ na aliitoa October 2015 na sasa ni March 24 2016 katuletea hii mpya inaitwa ‘Niroge’ naomba ukishaitazama niachie comment hapa chini na Vanessa atapita hapa badae kujua mashabiki wake wamesemaje kuhusu huu mdundo wake mpya...

Comments

Popular posts from this blog

Locanda La Scuola, Lusiana / Italy

Madai ya Diamond Kutoka na Kajala Kimapenzi Yapigiliwa Msumari Kwa Picha Hizi za Dada Yake Diamond na Kajala

Masia La Garriga, Castelladral / Spain