‘’Sikutaka kulizungumzia hili lakini nilijua watu watajaji,hata kwenye
‘comments’ watu wengi wanasema kwanini sijamuimba rafiki yangu Diamond
na ana skendo nyingi’’ Alisema Nay Wa Mitego.
‘’Unajua sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu tayari anacho kichwani
mwake ili ni jawabu tosha kwa watu ambao wanajaji hilo kila mtu angekuwa
anategemea ningemdisi Ali Kiba au Diamond sikutaka na kama ningeamua
kuwazungumzia hawa watu mimi nazungumzia vitu ambacho kila mtu angekuwa
nacho kwenye kichwa chake kama aliwahi kukifikiria lakini hawezi kuhisi
kama kuna mtu kukizungumzia ina maana kila mtu alikuwa akitegemea
anataka kuona nimemzungumzia Diamond au Ali Kiba’’Aliongeza Nay Wa
Mitego.
’Sijafanya hivyo kwa makusudi tu ijapokuwa kuna vitu vya kuzungumza juu
yao lakini kulikuwa hakuna umuhimu sana kuna watu walikuwa na vitu
muhimu sana ndio maana hii imeenda kiasi hicho’’Alimaliza Nay
Comments
Post a Comment