Staa wa muziki Mzungu Kichaa Awadiss Wema Sepetu na Idris Sultan
![]() |
| Mzungu Kichaa |
Staa
wa muziki Mzungu Kichaa, amevunja ukimya kuligusia suala ambalo pengine
linawaumiza wasanii wengi, ikionekana kuwa ni 'diss' pia kwa staa Wema
Sepetu na mwenzake Idriss Sultan, kupitia suala lao la ujauzito kunasa
na kutoka.
Akiongea
kwa hisia nzito, Mzungu Kichaa ambaye ana project kubwa ya video ambayo
watu hawaifahamu kama wanavyofahamu mimba ya Wema, msanii huyo
anayejinadi kuwa ni mbishi, ameelezea kusikitishwa kwake kwa mastaa hao
ambao wanatumia muda wao mwingi kuleta atensheni kwa mashabiki badala
kufanya shughuli zao binafsi za kila siku.
![]() |
| Idriss na Wema Sepetu |


Comments
Post a Comment