TAZAMA PICHA ZIKIONYESHA UNYAMA UNAOFANYIKA NCHINI BURUNDI, WATU WANAUAWA KAMA WANYAMA
Umoja wa Afrika(AU) umeahidi kuhakikisha mauaji ya kimbari
hayatokei Burundi. Wasema kuna uwezekano wa vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Kuanzia mwezi Aprili mwaka huu, watu takribani 400 wamepoteza maisha nchini Burundi kutokana na vurugu zinazoendelea
Comments
Post a Comment