Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya mitihani
ya kujipima ya darasa la nne huku matokeo hayo yakionyesha wanafunzi
wengi wamefeli katika somo la Kiingereza kwa asilimia 65.67 katika
mitihani hiyo iliyofanyika mwishoni 2015.
BOFYA HAPA KUTAZAMA MATOKEO
Comments
Post a Comment