Mimi ni mshabiki wa Ommy Dimpoz kitambo kidogo tangu anatoa nainai
lakini siku hizi ananiangusha sana tangu wanjera na hii mpya ya sasa
achia body ambayo kimsingi nyimbo imekosa ubunifu, nyimbo imefanana na
shikorobo ya Shetta hasa beat, melody nyepesi mno haivutii...Nyimbo zake
kwa sasa zinabebwa na Video na si Kingine.......
Ommy rudi kwenye identity yako utakuwa zaidi hata uko kimataifa unakota
kwenda, umemtoa Vanessa mdee na amepiga hatua kuliko wewe, wake up
Dimpoz.
Comments
Post a Comment