Posts

Showing posts from November, 2015

NAFASI ZA KAZI MERU UNIVERSITY, APPLICATION DEADLINE 09 DECEMBER, 2015

MOUNT MERU UNIVERSITY                                                    EMPLOYMENT OPPORTUNITY Mount Meru University is a fully chattered Private University established under chatter of 2002. The University is located in Arusha Ngaramtoni and has other centers in Arusha Town and Mwanza Town. The University is a foundation of real knowledge and wisdom that produces excellent, God fearing, Visionary, Skilled, proactive, hardworking and transformed servant leaders. In order to fulfill her functions properly, the University is seeking applications from suitably qualified person to fill the following posts:

NAFASI ZA KAZI AMREF HEALTH AFRICA, DEADLINE 02 DECEMBER 2015

Image
AMREF HEALTH AFRICA EMPLOYMENT OPPORTUNITY Ingia Kwenye Hii Website ya Ajira  AJIRAYAKO.COM  Kusoma Hiyo Nafasi ya Ajira ya Amref Health Africa Au Bonyeza  HAPA

KASI YA MAGUFULI YAZIDI KUWAWEKA WATENDAJI WA SEREKALI ROHO JUU

Image
Katika kile kinachoonekana ni kutaka kwenda na kasi ya rais wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Rada kata ya Majohe, Jimbo la Ukonga, Abdallah Goma, amewatimua ofisini wajumbe watano wa mtaa na kuwataka waende mitaani kukusanya kero zinazowakabili  wananchi. Mwenyekiti huyo aliamua kuchukua hatua hiyo baada ya  wananchi kulalamikia tabia ya wajumbe  hao kuwadai  malipo  wakati  wanapokwenda kutaka huduma katika ofisi hiyo, ikiwamo kuandikiwa barua ya utambulisho benki. Goma aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na Nipashe jijini Dar es Salaam  jana kutokana na mvutano uliojitokeza  kati yake na wajumbe aliowatimua kugoma kutekeleza agizo lake na kususia vikao. Alisema  baada ya kuapishwa alipanga ratiba ya kila mjumbe kukaa ofisini kwa muda wa siku mbili, lengo likiwa ni kubaini tabia zao, hivyo katika kipindi hicho malalamiko ya lugha chafu, kudai malipo ya kuandika barua ya dhamana na utambulisho yalijitokeza. Tumeam

FLORA MBASHA AJIACHIA NA MLINZI WAKE....EMMANUEL MBASHA ALIEKUWA MUME WAKE ATOA TAMKO

Image
GUMZO! Miezi kadhaa imekatika tangu nyota wa nyimbo za Injili Bongo, Flora Mbasha kumwagana na mumewe, Emmanuel Mbasha ‘Imma’, habari ya mjini kwa sasa ni mwanadada huyo kudaiwa kujiachia kila kona na jamaa anayemtambulisha kwa jina moja la Peter akisema kuwa ni mlinzi wake wa karibu, Risasi Jumamosi linatumbua jipu! TUJIUNGE NA CHANZO Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao wamekuwa wakionekana katika hafla mbalimbali wakitembea kama kumbikumbi hali ambayo imekuwa ikizua minong’ono kuwa huenda jamaa huyo ni m’badala wa Emmanuel. “Hivi hamna habari? Yaani tangu Flora amwagane na Mbasha, amekuwa akiongozana na Peter kila mahali, eti ndiye mtu wake wa karibu. Wamekuwa wakionekana hoteli pamoja, mara katika hafla mbalimbali. Yaani sasa hivi siyo siri, kila mtu anajua ni mtu na mwenzake,” kilisema chanzo hicho. mbasha2Flora Mbasha. CHANZO CHAANIKA PICHA Kuonesha kuwa hakibahatishi, chanzo hicho kilimtumia picha mwandishi wetu inayomuonesha Peter na Flora

BALOZI ZATAKIWA KUJIPANGA KUIWAKILISHA TANZANIA NCHI ZA NJE

Image
Kufuatia agizo la Rais John Magufuli alilotoa hivi karibuni la kusitisha safari za nje kwa wizara, idara na taasisi za serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imeanza kutekeleza kwa kutoa maelekezo kwa Balozi zake za nje. Wizara hiyo imezielekeza Balozi zote zilizopo maeneo mbalimbali duniani kujipanga ili kushiriki kikamilifu katika kuiwakilisha serikali kwenye mikutano yote ya kimataifa na kikanda inayofanyika katika maeneo yao ya uwakilishi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana jijini Dar es Salaam na wizara hiyo, imeeleza Tanzania ina Balozi 35 zikiwamo bazozi ndogo tatu, vituo viwili vya biashara na konseli za heshima 17 katika nchi mbalimbali. “Hizi zote zitahusika katika kuendeleza utekelezaji wa diplomasia yetu ya uchumi na uwakilishi wa maslahi ya nchi yetu,” ilieleza taarifa hiyo. Hadi sasa mikutano ambayo tayari imefanyika na Balozi zetu kuwakilisha ni pamoja na Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya

KAMATI SAIDIA STARS NA TFF WASUTANA NA KUONYOOSHEA VIDOLE MCHANA KWEUPE....

Image
Kamati ya Saida Taifa Stars ishinde imemaliza kazi na kuvunjwa rasmi jana, lakini nyuma yake imeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu utendaji na uhusiano wake na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Rais wa TFF, Jamal Malinzi aliunda kamati hiyo ili kuhamasisha Stars iishinde Algeria na kufuzu hatua ya makundi kusaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018, badala yake Stars ikaishia kufungwa jumla ya mabao 9-2. Jambo kubwa lililozua mkanganyiko ni suala la usafiri wa ndege kwa ajili ya Stars kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa marudiano. Awali, kamati hiyo chini ya Mwenyekiti Farough Baghozah, ilidai kupata udhamini kutoka kwa Kampuni ya Fastjet waliotoa punguzo la gharama za tiketi kwa wachezaji kufikia dola 700 (Sh. Milioni 1.4) kwenda na kurudi kwa mtu mmoja. Hata hivyo, wakati kamati hiyo ikiandaa mipango ya usafiri kupitia Fastjet, TFF ikaja na mipango yake na kuamua kutumia ndege ya Uturuki (Turkish Airways) kwa gharama ya dola 1,200 (Sh.

NAFASI ZA KAZI EQUIT BANK, APPLICATION DEADLINE 4TH DECEMBER, 2015

Image
EQUITY BANK EMPLOYMENT OPPORTUNITY Ingia Kwenye Hii Website ya Ajira  AJIRAYAKO.COM  Kusoma Hizo Nafasi za Ajira Au Bonyeza  HAPA

BALOZI SEFUE KUHUSU KUSIMAMISHWA KAZI KAMISHNA MKUU TRA

Image
  Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue akizungumza na waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari hawapo pichani kuhusu upotevu wa makontena zaidi ya 349 huku akiwa ameshika nyaraka yenye orodha ya makontena hayo. .Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue akionesha nyaraka hiyo mbele ya waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano huo. Katibu mkuu kiongozi balozi Ombeni Sefue wakwanza kushoto akifafanua jambo mbele ya wanahabari.

KASI YA RAIS MGUFULI, MZIGO WA THAMANI ZAIDI YA MILIONI 300 WAKAMATWA BANDARINI.

Image
Kutokana na Kasi ya Rais Magufuli yenye motto wa HapaKaziTu, watendaji wa taasisi mbali mbali wameanza kuamka kwenye usingizi wa uzembe na kuanza kufanya kazi. Makontena zaidi ya 30 yamekamatwa yakiwa mbioni kusafirishwa kwenda nchini China yakiwa na mzigo wa magogo kinyume na sheria za nchi. Haijulikana makontena mengine mangapi yamesafirishwa kabla ya haya makontena kukamatwa.

Serikali Yakanusha Hazina Kuachwa Tupu na Rais Kikwete

Image
  Serikali imekanusha taarifa zinazosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa amekomba fedha hazina na kuiacha Serikali bila fungu lolote.

Nafasi ya Kazi Tanzania Postal Bank (TPB), Application Deadline 10 December, 2015

Image
TANZANIA POSTAL BANK (TPB) EMPLOYMENT OPPORTUNITY Ingia Kwenye Hii Website ya Ajira AJIRAYAKO.COM Kusoma Hiyo Nafasi ya ajira Bank ya Posta iliyotangazwa... Au Bonyeza HAPA

TIMU YA TAIFA YA VIJANA WENYE UMRI CHINI YA MIAKA 15 U15 YAINGIA KAMBINI

Image
  Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 15 (U15) imeingia kambini jana jioni katika hosteli za TFF zilizopo Karume jijini Dar es salaam, kujiandaa na ziara ya mafunzo katika ukanda wa Afrika Mashariki itakayoanza Disemba Mosi mwaka huu.

BREAKING NEWS….WAZIRI MKUU MAJALIWA AVAMIA BANDARI LEO, AAMRISHA KUKAMATWA KWA MAAFISA KIBAO WA TRA

Image
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa leo ameamuru kukamatwa kwa maafisa kadhaa  wa Mamlaka ya Mapato (TRA) na wengine kufukuzwa kazi  baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini na kukuta madudu ambayo hakuyafurahia. Maafisa hao, ambao kwa sasa tunahifadhi majina ili Jeshi la Polisi liweze kuwashughulikia, wametakiwa pia kusalimisha hati zao za usafiri. Hii imekuja baada ya kugundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 80 ambayo data za Mamlaka ya Bandari inazo lakini katika mtandao wa TRA hayaonekani. Habari kamili inaandaliwa. Fanya subira…. Kwa sasa anza na picha…. Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa  akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na uongozi wa TRA na TPA alipofanya ziara ya kustukiza Bandarini leo asubuhi.   Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa akiongea na viongozi wa TRA na TPA Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa  akikabidhi orodha ya makontena yaliyopotea na ambayo TRA haina taarifa nazo W

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

Image
    MZEE WA MIAKA 70 MKAZI WA KIJIJI CHA MPELANGWASI WILAYA YA RUNGWE ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA MWANYAPU MWAKASEGE ALIKUTWA AMEUAWA KWAKUPIGWA MCHI KICHWANI NA MTU/WATU WASIOFAHAMIKA.

DK. MANYAUNYAU MIAKA 3 JELA KWA KUSHINDWA KUFUFUA MAITI

Image
   Mkazi  wa Dar es Salaam, Dunia Salumu maarufu kwa jina la Dk. Manyaunyau, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya Sh milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha Sh milioni 29.6 kwa njia ya udanganyifu.      Manyaunyau anadaiwa kujipatia kiasi hicho cha fedha kutoka kwa mlalamikaji, Tekra Modesta kama malipo ya kazi ya kumfufua marehemu kaka yake aliyefahamika kwa jina moja la Modest ambaye alifariki dunia miaka kadhaa iliyopita. Akitoa hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, Flora Haule, alisema mtuhumiwa huyo ametiwa hatiani baada ya ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka kujitosheleza. “ Mahakama inatoa hukumu kwa mtuhumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa fidia ya Sh milioni 10 baada ya kumaliza kutumikia kifungo chake ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo, ” alisema Hakimu Flora. Upande wa mashtaka ulikuwa na mashahidi wanne ambao wot

AJALI MBAYA IMETOKEA KIBAHA KUTOKA BAOBAB SECONDARY SCHOOL

Image
 jamani. Kuna gari T 185 AVT Toyota Salon, imeungua vibaya njia inayokwenda Kibaha kutoka Baobab Secondary School na kuna MTU ndani ameungua vibaya sana limebaki fuvu tu hata hatambuliki. Polisi Kibaha ndio wapo kwenye tukio. Sambaza ujumbe ili ndugu zake wapate taarifa. Imetokea usiku wa kuamkia Leo 27/11/2015

23rd November 2015 12:37:24 TANGAZO KWA UMMA - UENDESHAJI WA KOZI YA STASHAHADA (DIPLOMA) YA MENEJIMENTI NA UALIMU KATIKA CHUO KIKUU CHA ECKERNFORDE – TANGA

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) TANGAZO KWA UMMA UENDESHAJI WA KOZI YA STASHAHADA (DIPLOMA) YA MENEJIMENTI NA UALIMU KATIKA CHUO KIKUU CHA ECKERNFORDE – TANGA Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) lina utaarifu umma kuwa Stashahada (Dilploma) ya Menejimenti na Ualimu itolewayo katika Chuo kikuu cha Eckernforde - Tanga ilipata ithibati ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) na kuruhusiwa kutolewa katika kampasi yake ya Tanga. Hata hivyo imefahamika baadae kuwa chuo hicho kimekuwa kikitoa mafunzo hayo katika kampasi zisizoruhusiwa ikiwamo vituo vya shule za msingi kwenye wilaya mbalimbali nchini. Tume ya Vyuo vikuu ilishatoa katazo la maandishi kwa Eckernforde na kwenye vyombo vya habari lakini bado fomu za kujiunga na programu hiyo zimekuwa zikiendelea kugawiwa katika vituo mbalimbali nchini.

Nafasi za Kazi Serekalini Utumishi wa Umma, Application Deadline 06 December, 2015

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE MANAGEMENT VACANCY ANNOUNCEMENT Ingia Kwenye Hii Website ya Ajira AJIRAYAKO.COM Kusoma Hiyo Nafasi ya Ajira ya Serekali iliyotangazwa... Au Bonyeza HAPA

JK ATINGA OFISINI KWAKE LUMUMBA

Image
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi  Nape Nnauye mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba.

IZZO B, JAY Z WAPI NA WAPI?

Image
  Mkali wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Simwenga ‘Izzo Business’. M kali wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Simwenga ‘Izzo Business’ ambaye anatisha kwa sasa na Wimbo wa Shemu Lake hivi karibuni alitupia picha yake kwenye Mtandao wa Instegram akiwa katika pozi ambapo muda mfupi baadaye shabiki wake mmoja alikomenti chini ya picha hiyo kwa maandishi yaliyosomeka ‘Jay Z wa Bongo.’ Baada ya komenti hiyo vurumai baina ya mashabiki liliibuka huku wengine wakipinga eti mshkaji huwezi kumfananisha na Jigga, wengine wakitetea kuwa wanaendana na anafaa kuvaa viatu hivyo lakini mwisho wa siku komenti nyingi ziliuponda U-Jay Z wa Izzo.

KAMATI YA STARS, YAWASHUKURU WATANZANIA

Image
Mwenyekiti wa Kamati Taifa Stars, Farouqh Baghozah amewashukuru watanzania kwa michango yao waliyoitoa kuispaoti timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ katika michezo ya kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi dhidi ya Algeria.

KILICHOJIRI MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KUHUSU MWILI WA MAWAZO.

Image
Hivi ndivyo ilivyokuwa jana Novemba 26,2015 Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kutengua zuio la Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza  la kuzuia ibada ya mazishi ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Geita Alphonce Mawazo alieuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana Novemba 14 mwaka huu Mkoani humo

ALIKIBA AKANUSHA TETESI ZA KUMPA UJAUZITO JOKATE

Image
Baada ya tetesi kuzagaa kwenye baadhi ya vyombo vya bahari na mitandao ya kijamii kuwa mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, kuwa ni mjamzito na mhusika mkuu wa ujauzito huo ni mwanamuziki Ali Kiba, mwanamuziki huyo akanusha madai hayo.

MBUNGE KINGU AELEZA SABABU YA KUKATAA POSHO ZA BUNGE

Image
Elibariki Kingu akitoa ufafanuzi wa jambo mara baada ya kuulizwa maswali kutoka kwa wanahabari. Kutoka kushoto ni Hamisi Ngila, aliyekuwa mpinzani wa Kingu katika kura za maoni ndani ya CCM, Elibariki Kingu na Gerard Lukas. Elibariki akisoma taarifa yake aliyokuwa ameiandaa kwa wanahabari. Wanahabari wakichukua tukio. MBUNGE wa Singida Magharibi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elibariki Kingu amesema sababu za kuandika barua kwa Katibu wa Bunge kusimamisha posho zake zote za vikao ’sitting allowance’ ni kutaka fedha hizo kupelekwa kwenye mfuko wa jimbo lake kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kimaendeleo. (P.T) Akizungumza na wanahabari leo katika hoteli ya Travertine jijini Dar es Salaam, Kingu amesema dhamana aliyopewa si kwa vile yeye ni bora kuliko aliochuana nao, bali ni matumaini makubwa ya wapigakura wake kwake. Alisema wapiga kura wake wana kero kama huduma za maji, afya, ujenzi wa vyumba vya madarasa na ubores

KIPINDUPINDU CHAPUNGUA DAR

Image
Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu jijini Dar es salaam imepungua kufikia wagonjwa kumi na mbili (12) kwa mkoa mzima, huku wilaya ya Temeke ikiwa na wagonjwa saba,Kinondoni wagonjwa wanne na Ilala ikiwa na mgonjwa mmoja Haya yamezungumzwa na Mratibu wa Magonjwa ya kuambukiza wa Jiji la Dar es salaam Bw. Alex Mkamba ofisini kwake leo akielezea jinsi gani mkoa umefanikisha kupambana na kipindupindu kwa kuzingatia usafi katika jiji. Ameongeza kuwa katika kufanikisha mapambano dhidi ya kipundupindu wametoa mafunzo juu ya mbinu shirikishi ya namna ya kujikinga na kipindupindu kwa watendaji wa mitaa na pia imewahimiza kukagua maeneo yao na kuwapa kibali cha kufunga maeneo ya biashara au maeneo yatoayo huduma za chakula yasiyozingatia usafi. Akielezea kuhusu huduma kwa wagonjwa wa kipindupindu jijini Dar es salaam mratibu huyo amesema jiji lina dawa za kutosha za kuhudumia wagojwa ipasavyo kwa kuwapatia huduma bora zaidi kuendana na kasi ya maambukizi

Muhimbili yapatiwa msaada wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto

Image
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) Tanzania, Dk Juma Gulaid akisoma taarifa kabla ya kukabidhi vifaa vya kuhudumia watoto katika hafla fupi iliyofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando.Picha zote kwa hisani ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Baadhi ya wauguzi wakisimsikiliza Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) Tanzania, Dk Juma Gulaid katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) . Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando akizungumza katika hafla ya kupokea vifaa vya kisasa vya  kuhudumia watoto katika hospitali hiyo. Vifaa hivyo vimekabidhiwa  na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk Juma Gulaid. Mwakilishi wa UNICEF Tanzania, Dk Juma Gulaid akimkabidhi hati ya vifaa vya kuwahudumia watoto kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando. N

TIGO YADHAMINI ONESHO LA MWANAMUZIKI MOUSSA DIALLO KUTOKA NCHINI MALI LITANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM KESHO

Image
Meneja wa Mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya Tigo, John Wanyanja (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu kampuni hiyo kudhamini onesho la mwanamuziki Mousa Diallo kutoka nchini Mali litakalofanyika kesho katika Mgahawa wa Chakula na Vinywaji wa Samaki Samaki, Masaki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Masoko wa Mgahawa wa Samaki Samaki, Saum Wengert na katikati ni Mwanamuziki, Moussa Diallo.

RATIBA MECHI ZOTE ZA EPL JUMAMOSI HII

Image
Baada ya ligi mbalimbali kusimama kwa muda kupisha ratiba ya michezo ya kimataifa, ligi kuu ya England itaendelea tena kwa mechi kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti kutafuta pointi tatu ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ligi hiyo. Mechi ambayo imebeba headlines kwenye ligi hiyo ni kati ya Manchester City dhidi ya Liverpool mchezo unaosuiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa soka. Ratiba nzima ya michezo ya EPL Jumamosi hii ni kama inavyoonekana hapa chini.

PICHA ZA KUMBUKUMBU BAADA YA RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUZINDUA BUNGE DODOMA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015

DKT KIGWANGALLA ATOA USHAURI WAKE JUU YA UDHIBITI WA MADAWA SERIKALINI

Image
Dkt Hamisi Kigwangalla Mbunge Mteule Nzega Vijijini CCM . ……………………………………………………………………………….. Mbunge mteule jimbo la Nzega vijijini  Dkt Hamisi Kigwangalla  (CCM) ametoa ushauri kwa wizara husika juu ya udhibiti wa kuvuja kwa madawa serikalini na kwenda kwenye maduka binafsi. Kupitia ukarasa wake facebook Kigwangalla amesema #‎ SasaKaziTu Changamoto ya Udhibiti wa Kuvuja.

MH. KASSIM MAJALIWA NDIYE WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Image
Hatimaye kitendawili kimeteguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli baada ya kumteua Mh. Kassim Majaliwa Mbunge wa Ruangwa mkoa wa Lindi  na Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi anayeshughulia elimu kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akitangaza jina hilo Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai amewaeleza wabunge kuwa kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inampa rais kuteua jina la Waziri Mkuu na kuliwasilisha bungeni kwa ajili ya kuthibitishwa na wabunge Hivyo bunge litamthibitisha rasmi na kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Fullshangwe na kikosi chake chote kimatakia Mh. Waziri Mkuu Mteule  Kassim Majaliwa afya njema na mafanikio katika majukumu yake mapya.

SBC yapunguza bei ya vinywaji vyake kutoka shillingi mia sita (600) hadi mia tano (500)

Image
                                                                             Dar es Salaam. Kampuni ya SBC Tanzania Limited, watengenezaji na wasambazaji wa vinywaji baridi imepunguza bei ya vinywaji vyake kutoka shillingi mia sita (600) hadi mia tano (500) kwa chupa yenye ujazo wa Mililita 350 na 300.

Full Time ya Algeria Vs Taifa Stars November 17 2015

Image
Usiku wa November 17 watanzania wengi na wapenzi wa soka walikuwa wakisubiri kuona mchezo wa pili wa marudiano wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi kati ya timu ya taifa ya Algeria dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars , mchezo ambao ulichezwa Blida Algeria katika uwanja wa Mustapha Tchaker .

RAIS MAGUFULI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI WA UFARANSA NCHINI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Ufaransa nchini kufuatia vifo vya Watu zaidi 130 vilivyotokana na mashambulizi ya kigaidi.

KOBE 201 WALIOKUWA WAKISAFIRSHWA NJE YA NCHI WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA J.K NYERERE

Image
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akikagua mabegi matano yenye Kobe 201 yaliyokamatwa usiku wa kuamkia leo na askari wanyamapori kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama katika uwanja wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam.