Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na wabunge muda
mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Spika Mstaafu
Mhe Pius Msekwa huku Spika Mstaafu mwingine Mhe Anne Makinda akisubiri
zamu yake muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11
mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na mmoja wa
wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11
mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 201
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete na Mhe. Benjamin William Mkapa muda mfupi baada
ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na
viongozi wakuu na wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua
rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisikiliza kwa unyenyekevu
mawaidha toka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi
muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt
Ali Mohamed Shein, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan
Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi
Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Majaliwa
Kassim Majaliwa wakijichanganya na wabunge kwenye mchapalo muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi
Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo
Mhe Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la
11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Mwanza Mhe Anthony Diallo muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na wabunge na wageni
waalikwa kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua
rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015. Ni hapo
alipoamuru kwamba zaidi ya shilingi milioni 200 zilizochangwa na
wafadhili kwa ajili ya mchapalo huo zitumike kwa kununulia vitanda vya
wagonja katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru Spika Job Ndugai
wakati anaondoka baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini
Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru na kumkabidhi cheti
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw.Adam Mayingu kwa mchango wao kwenye
mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11
mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimshukuru na kumkabidhi cheti
mwakilishi wa Benki kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi baada
ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipozi na badhi ya mabalozi
wa nchi za Kiafrika waliokaribishwa kwenye hafla ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
|
Comments
Post a Comment