Posts

Showing posts from January, 2016

Oh no! Elephant impales a Buffalo

Image
One big Buffalo met a horrific death at the tusks of a much larger animal. The Buffalo had been sleeping in the shade of a tree when a female elephant came upon it suddenly, stunned, the buffalo charged at her and sealed its fate. He headbutted her prompting her to retaliate, the elephant impaled him and shook him to death with its tusks. See more photos after the cut... The buffalo did not die immediately and rangers at the reserve think the animal must have been unwell to act so out of character. The incident played out at the Maasai Marai reserve in Kenya and was captured by amateur photographer, Kimberly Maurer, 56, who was on holiday at the reserve. She said: 'I started looking through the images on the back of my camera immediately after the attack and became very excited to discover that I had actually captured the event in detail. This photograph was, no doubt, a once-in-a-lifetime capture for me. As you would imagine, his carcass was a meal for anoth

Mwili wa Mtanzania uliozuiliwa India kuwasili leo

Image
Marehemu Abel Machanga enzi za uhai wake. Hatimaye mwili wa Mtanzania Abel Machanga aliyefia nchini India akipata matibabu unatarajiwa kuwasili leo baada ya kuzuiwa kwa takribani siku 28 kutokana na deni la matibabu. Mwili huo umeruhusiwa baada ya familia ya Machanga kulipa deni la shilingi milioni 35 lililokuwa likidaiwa kama gharama za matibabu. Abel alikutwa na mauti Desemba 31, 2015 akiwa kwenye matibabu nchini humo, mbaya zaidi, maiti yake ilizuiliwa kutolewa mochwari mpaka familia ilipe deni la shilingi milioni 35. Abel alianza kuugua Novemba 2014 akiwa denti wa Chuo cha Biashara Dar (CBE). Alivimba macho, yakatokeza nje, akapoteza uwezo wa kuona huku pia akipumua kwa shida. Alitibiwa Hospitali ya Macho CCBRT, Dar ikashindikana, akapelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, hali ilizidi kuwa mbaya. Novemba 24, 2015, ndugu wakampeleka India ambapo mauti yalimkuta.

Wakimbizi wa Burundi hawana matumaini

Image
Wakimbizi wa Burundi waliokimbilia nchini Rwanda kufuatia machafuko ya kisiasa yanayoendelea nchini kwao wamepoteza matumaini ya kumalizika haraka mgogoro wa nchi yao. Raia hao wa Burundi wapatao elfu 25 ambao wamekuwa wakiishi mjini Kigali huko Rwanda tangu nchi yao ilipotumbukia katika lindi la machafuko, wamesema kuwa, wamekosa matumaini ya kurejea makwao hivi karibuni na kwamba bado wanasubiri utatuzi wa kadhia hiyo. Kwa mujibu wa wakimbizi hao, magogoro wa sasa nchini Burundi unashabihiana sana na ule wa Rwanda kabla ya kutokea mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Wameongeza kuwa, kukosekana makubaliano baina ya serikali na wapinzani ndiyo sababu kuu iliyowafanya kukosa matumaini ya kuweza kuhitimishwa machafuko nchini Burundi. Wanyarwanda karibu milioni moja waliuawa katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, hadi sasa machafuko nchini Burundi yamesababisha mamia ya watu kuuawa na wengine zaidi ya la

Photo: Nigerian scientist, Prof. Umezuruike Opara wins the 2016 African Union Kwame Nkrumah prize for Earth Science

Image
Nigerian scientist, Professor Umezuruike Opara emerged the winner of the African Union Kwame Nkrumah Continental Scientific Award in the field of Earth Science. Opara was conferred with the $100,000 award at the opening of the 26th Sessions of the AU Assembly of Heads of State and Government held at the AU headquarters in Addis Ababa, Ethiopia. (Pictured above is President Buhari congratulating him) The ceremony was moderated by the AU Commissioner for Human Resources, Science and Technology, Martial De Paul Ikounga. According to the commissioner, the Kwameh Nkrumah Continental Scientific Awards given at three levels: national, regional and continental was to honour African men and women in science who distinguished themselves by their contributions to African development through their work in the field of research and training. Another photo of Pro. Umezuruike Opara

Photos: ISIS propaganda video shows a French-speaking militant executing men accused of spying

Image
A new video released on Saturday, January 30 by the Islamic State group in Iraq shows a French-speaking militant executing five men accused of being US spies. According to AFP, the militant also reportedly threatened attacks against Western countries. The video, which was posted on several jihadi websites, shows young men admitting to have acted against ISIS militants before being shot dead. The video was produced by the ISIS media office in Iraq’s Nineveh province and was reportedly made after the Paris attack. In the eight-minute video, the French-speaking militant, who is seen wearing a beige mask and carrying a handgun, brands the U.S.-led coalition fighting ISIS in Syria and Iraq “imbecile miscreants” and warns that the efforts by Western nations will fail to destroy the group. The militant also vowed that ISIS will conduct more deadly attacks against the West. Among the Western nations, the militant made a reference to Spa

KASSIM MAJALIWA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MAWENZI MKOANI KILIMANJARO

Image
Waziri mkuu akiwasili katika hosiptali ya rufaa ya Mawenzi alipofanya ziara ya kushtukiza. Waziri mkuu akitizama chumba cha kupigia pcha za mionzi (X Ray) katika hosspitali ya rufaa ya Mawenzi. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili mkoani Kilimanjaro na kufanya ziara kushtukiza kwenye hospitali ya rufaa ya Mawenzi ambayo ni hospitali ya mkoa huo. Waziri Mkuu Majaliwa ambaye mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo ya Moshi mjini jana jioni (Jumamosi, Januari 30, 2016) alipangiwa kupokea taarifa ya mkoa huo, alimweleza Mkuu wa mkoa huo kwamba anataka kufanya ziara katika hospitali hiyo na kuwaomba radhi watendaji waliokuwa wanasubiri taarifa ya mkoa iwasilishwe. “Mheshimiwa Waziri Mkuu ameamua kufanya ziara katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi ambayo ni hospitali yetu ya mkoa na atakuja kupokea taarifa ya mkoa wetu tukishatoka huko,” alisema Mkuu wa mkoa huo, Bw. Amos Makalla. (VICTOR) Mara baada ya kuwasili hospit

Chris Brown's baby mama claims he gave their child asthma with his weed

Image
Chris Brown's baby mama Nia Guzman  is taking him to court on the claims that he is making their child sick. She told the judge that one year old Royalty has developed asthma, and it's all because Chris has exposed her to an extreme amount of secondhand smoke, adding that he is a weed and tobacco enthusiast, according to a report by TMZ... Nia says that every time Royalty comes back from a visit with Chris, she usually reeks of smoke. Nia said she's worried Chris is abusing drugs and has relapsed, mostly with sizzurp. Nia wants Chris' visitation to be restricted, asking the judge to force him to hire a full-time nanny or pull back on his right to be around the child. She also wants the judge to force Chris to take random drug tests, prohibit him from using drugs or consuming alcohol around Royalty, and stop him from smoking around their daughter. In addition she wants her child support to be increased from $2500 to $16000.

Hivi Ndivyo Edward Lowassa Anavyoishi Kama Rais nje ya Ikulu...

Image
Edward Lowassa Licha ya kutotangazwa mshindi wa urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka jana, aliyekuwa mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amekuwa na ratiba zinazofanana kwa kiasi fulani na Rais John Magufuli, imefahamika. Kwa mujibu wa matangazo ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Lowassa aliyekuwa akichuana kwa karibu na Magufuli katika muda wote wa kampeni za miezi miwili zilizoanza Agosti 21, 2015, alishika nafasi ya pili baada ya kupata asilimia 39.97 ya kura zote halali zilizopigwa. Magufuli aliibuka mshindi baada ya kupata asilimia 58.46 ya kura hizo na aliapishwa Novemba 5, 2015 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na tangu wakati huo ameendelea kusimamia mabadiliko kadhaa katika serikali yake ya awamu ya tano. Hata hivyo, Nipashe imebaini kuwa licha ya Lowassa kutotangazwa mshindi na kuingia Ikulu, mgombea huyo wa urais wa mwaka jana amekuwa na mwenendo wa matukio yanayof

Comedy Video - Cracked Up With MC Tall

Image
A hilarious comedy video showing two stubborn drivers refusing to give in. This video was conjured by versatile comedian Mc Tall (@mctall1) who is staging a come back after a year long academic absence. The video is the first of a forthcoming series dubbed "Cracked Up with Mc Tall" The video features nollywood actor Dr. Ochinawata and @mopcomedian. I bet you will run out of tears when watching this video.

Mbwana Samatta Ampa Ujumbe Huu Thomas Ulimwengu Baada ya Kujiunga na Genk.

Image
Ulimwengu na Samatta ni washkaji wa karibu sana ambapo walijuana kwa karibu sana kutokana na kucheza pamoja kwenye club ya TP Mazembe. Sasa hivi Mbwana Samatta amejiunga na KRC Genk na kumuacha Ulimwengu ndani ya TP Mazembe. Baada ya kutangaza kumbwa amejiunga na club ya Genk Samatta ameonyesha furaha lakini pia huzuni wake upo anapotengana na mshkaji wake Thomas Ulimwengu. Huu hapa ni ujumbe mrefu alioandika Samatta kwa ajili ya Thomas Ulimwengu. “Am gonna miss you my nigga, hope to have you near me again/Nitaku miss sana rafiki yangu nina imani nitakuwa nawe karibu tena. Ulikuwa mshauri na mtia moyo sana katika vipindi vigumu ila ndio maisha yametupa “No Choice” katika hili. Stay blessed bro your my nigga forever����. Kila nikicheki picha we are pamoja najiskia ku-cry but no way. Wish you do the best in TP bro!!.

News: Majangili Waitungua Helkopta na Kumuua Rubani Capt. Roger Katika Ranchi ya Wanyapori ya Mwiba, Meatu

Image
Watu wanaodaiwa kuwa ni majangili na wawindaji haramu wameitungua kwa risasi helkopta ya doria ya wanyamapori katika pori la akiba la maswa lililoko wilaya ya Meatu mkoani Simiyu kusini mwa hifadhi ya taifa ya Serengeti na kumuua rubani wa helkopita na kumjeruhi askari mmoja wa wanyamapori. Kufuatia tukio hilo, waziri wa maliasili na utalii Profesa Jumanne Maghembe amefika katika eneo la tukio na kusisitiza kwamba serikali kwa kushirikiana na vyombo vyote vya dola na vyombo vya ulinzi na usalama inaanzisha mkakati mpya wa kupambana na ujangili na uwindaji haramu wa maliasili ikiwemo Tembo ambao ni rasilimali muhimu kwa taifa na kwa uhifadhi wa taifa la Tanzania. Waziri Maghembe ambae amefika kwenye eneo hilo ilipotunguliwa na kuikuta helkopita hiyo iliyokuwa inarushwa na kepten Roger Gower raia wa Uingereza ambae alifariki baada ya kujeruhiwa kwa risasi amesema tukio hilo limewakera wadau wote wa uhifadhi na serikali kwa ujumla na kamwe haliwezi kuachwa

Haya haya: Mbunge Chadema Achaniwa Suti Mbili na Polisi

Image
DODOMA: KALI ya mwaka. Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijuakali wa Chadema, amechaniwa suti mbili katika matukio mawili tofauti na Jeshi la Polisi ndani ya wiki moja, Risasi Jumamosi linakutaarifu. Katika tukio la kwanza, mbunge huyo alitolewa nje kwa nguvu kutoka Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero, baada ya kukaidi agizo la mwenyekiti wa kikao, Yahaya Nania la kumtaka asishiriki katika zoezi la kuapishwa kwa madiwani wateule na kumchagua mwenyekiti na makamu wa halmashauri hiyo kwa kili kilichodaiwa kuwa hakuwa mjumbe halali wa baraza hilo. Katika purukushani hizo, zilizotokea Januari 24 mwaka huu, ambazo yeye aligoma kutoka akidai ni mwakilishi halali wa wananchi wa jimbo lake, mbunge huyo alichaniwa suti yake katika vuta nikuvute ya polisi. Katika tukio la pili, Januari 27, mwaka huu, lililosababisha suti yake nyingine kuchanwa na polisi, Lijualikali alikuwa mmoja wa wabunge wa upinzani waliotolewa nje kwa nguvu, baada ya kukaidi amri wa Mwenye

Ali Kiba Amfananisha Mwanamuziki Ruby na Mbwa..Ruby Amshukia Ali Kiba na Kufunguka Makubwa

Image
Mwanamuziki Ruby amefunguka kwa uchungu kuhusu Mwanamuziki Ali Kiba Kumfananisha na Mbwa.... "Kabla ya yote naombeni sana mashabiki zangu, mniwie radhi kwa nnacho kiandikia katika ujumbe huu binafsi mimi sijapendezewa kabisa na alichokisema kaka yangu @officialalikiba kwenye kipindi cha @thesporahshow kilichorushwa kupitia @cloudstv kaka yangu alikiba mimi ni mdogo sana kwako si kwa umri wa kimuziki, sikutegemea na sijapendezwa na kauli yako yakunifananisha mimi na MBWA mimi ni binaadam na ni mdogo wako kama alivyo @zabibu92kiba sidhani kama ungeweza kumwita huyo mbwa wako zabibu au abdul, mimi sina ukaribu wowote na wewe lakini kama mtu niliyemkuta kwenye industry na uliyenitangulia kuliona jua na mpaka uliponifwata kuniambia una- appreciate kazi yangu nakuniomba nifanye nyimbo na mdogo wako @officialbdukiba na nikakubali yote hayo yalifanikiwa kutokana na love niliyokuwa nayo kwako kama kaka yangu,hujawahi hata siku moja kunitamkia kwamba unambwa wako ana

Aliyekuwa Mchumba wa Idriss Samantha Ampa za Uso Idriss na Kudai Anatukanwa na Watu Kwenye Page yake Bila Sababu

Image
Samantha Aliyekuwa mpenzi wa Idriss Kabla ya Kumwagana baada ya muda mfupi wa penzi lao amefunguka kuhusu kero na matusi anazozipata kwasababu ya Idriss kutoka kwa mashabiki Samanthajannsen  @idrissultan I think you and I have had this discussion a few times and you know as well as I do that I don't want you and that we better off as friends. With that being said I would like to congratulate @wemasepetu and wish you all the best , but also kindly respect me as I have , because there's no where I have ever mentioned your name or called you any other name like you called me.Now please can people respect my page and stop with unnecessary drama , I have companies am working with and when they go on my social media pages , all they see is insults and negativity, why ? We all have lives past relationships , can we focus on positivity with all this strength people are using on negativity , I think we all have better things to do on social media

Tazama Hapa Video Nzima ya Wema Sepetu na Idriss Walivyohojiwa na Diva Clouds FM

Image
Idriss na Wema Sepetu Couple ya ‘Wedris’ ilipata nafasi ya kuhojiwa exclusive na mtangazaji wa Clouds Fm, Diva kwenye kipindi cha Ala Za Roho usiku wa Alhamisi (Jan 28), ambapo kila mmoja alifunguka mambo mengi kuhusu toka walipokutana na kuanza kupendana, kuhusu wema alivyogundua kuwa ameshika ujauzito wa Idris na mambo mengine. Kama hukupata bahati ya kusikiliza tazama hapa sehemu ya mahojiano hayo walipokuwa studio za Clouds Fm.

Makubwaa!!! Mke wa David Kafulila Amshukia Andrew Chenge na Vinara wa Kashfa ya Tegeta Escrow..Ashangaa Kwanini Hawapo Katika List ya Takururu

Image
Mke wa David Kafulila Mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Jesca Kishoa, amehoji kwa nini Tasisi ya Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema watu 36 watafikishwa mahakamani kwa tuhuma za ufisadi lakini vinara wa kashfa ya Tegeta Escrow, ikiwa ni pamoja na Mmiliki wa Kampuni ya Kufua Umeme ya IPTL, Habirnder Seth Singh, hayumo. Kishowa ni mke wa aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila ambaye aliishupalia hoja hiyo bungeni na kuwang’oa baadhi ya vigogo wa serikali wakiwemo mawaziri. Kafulila ndiye Mbunge wa kwanza kuifikisha kashfa hiyo kwenye Bungeni la 10 na baadaye Ofisi ya Mdhimiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikafanya uchunguzi na kuwasilisha ripoti yake ambayo ilifikishwa Bungeni na Kamati ya Hesabu za Serikali. Kashfa hiyo ilisababisha aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kuachia ngazi. Watumishi wengine walioguswa ni Mwanasheria Mkuu

Pitia Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumamosi Ya Januari 30,2016

Image