Posts

Showing posts from December, 2015

DK HARRISSON MWAKYEMBE ATEMBELEA TUME YA HAKI ZA BINADAMU

Image
Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dk Harrisson Mwakyembe ameitembelea  Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na kusema kuwa ni  chombo muhimu ambacho uwepo wake unaipa heshima kubwa Tanzania kimataifa. Akizungumza katika ziara aliyoifanya katika Ofisi za Tume jijini Dar es Salaam tarehe 31 Desemba 2015, Dk Mwakyembe alisema Tume ni chombo muhimu kwa taifa kilichoanzishwa kikatiba kwa lengo la kulinda na kutetea haki za binadamu nchini. "Wananchi tunaowaongoza wanakihitaji hiki chombo kwa kuwa kimeundwa kusimamia haki zao" alisema Dk Mwakyembe "Chombo hiki kipo kwa ajili ya kusimamia masuala ya haki za binadamu, serikali wakati mwingine katika kutekeleza majukumu yake yanaweza kutokea mapungufu ya kiutendaji, hivyo Tume ipo kwa ajili ya kurekebisha mapungufu hayo ili nchi iende vizuri" aliongeza Dk Mwakyembe alisisitiza kuwa Tume inachokifanya ni katika mipango ya Serikali, na kwa hakika inaisaidia serikali iende ka

ZA MWIZI AROBAINI !!! ANG'ATWA NA NYOKA AKIZINI NA MKE WA MTU KICHAKANI.

Image
Kijana mmoja shija kasamwa mwenye umri wa miaka 28,leo mchana amejikuta akipata masahibu ambayo iwapo atapona kamwe hatayasahau kabisa ktk maisha yake. Kijana huyo mkazi wa mkoa wa Shinyanga ktk kijiji cha Chela ameng'atwa na nyoka mwenye sumu kali akiwa msituni akivunja amri ya sita na mke wa mtu. Inasemekana ndio ilikuwa tabia yake kufanya uchafu huo na mwanamke huyo asiye mwaminifu ktk ndoa yake. Sasa leo kama kawaida yao walijirusha msituni,wakiwa huko kabla hawajaanza kufanya mapenzi walisikia sauti za watu wakija upande waliokuwepo ndipo wakaamua kuingia kichakani kwa hofu ya kuonekana,ndani ya kile kichaka kikubwa kilichokuwa kimefungasha miti mingi kiasi kwamba haikuwa rahisi kuonekana kwao,ndipo wakaamua kufanya uchafu wao eneo hilo ndipo wakiwa bado wanaendelea na starehe ilihali yule kijana akiwa kashusha suruali yake na makalio yake kubaki wazi alishtuka ghafla kang'atwa na nyoka huyo anayesadikiwa kuwa ni aina ya cobra,kelele za mau

WHY TANZANIA WILL SOON OVERTAKEN KENYA IN CREATING MILLIONAIRE

Image
Why Tanzania Will Soon Overtaken Kenya In Creating Millionaires Tanzania is creating dollar millionaires faster than any other East African country, a new report says. This means that East Africa’s newest millionaires are likely to come from Tanzania, as opposed to Kenya, Uganda, Rwanda or Burundi. According to the African 2013 Wealth Book, the country is ranked third in Africa, after Ethiopia and Angola, with its millionaires’ club growing at a rate of 51 per cent between 2007 and 2013. While it had 3,700 millionaires in 2007, this number had risen to 5,600 by 2013. Tanzania is followed in the region by Kenya, the only other regional country that features among the top 10 in Africa. Kenya is reported to have had 8,300 millionaires in 2013 against 6,700 in 2007, a growth rate of 24 per cent. The report, put together by New World Wealth, defines millionaires or high net worth individuals (HNWIs) as those with net assets worth $1 million or more, ex

MPYAAAA!!!! MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WAO WALIOTEULIWA JANA WATAAPISHWA KESHO IKULU DAR ES SALAAM NA KISHA KUSAINI AHADI YA UADILIFU .

Image
Kesho Tarehe 01 Januari, 2016 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wataapishwa rasmi katika Ukumbi wa Ikulu, uliopo lango kuu litazamalo baharini kuanzia saa nne asubuhi. Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao wataapishwa na wale ambao walishaapishwa wanapaswa kuhudhuria katika tukio hili, ili mara baada ya kiapo kukamilika washiriki zoezi la kutia saini Hati ya Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi wa Umma (Integrity Pledge).   Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema zoezi la kutia saini hizo, litafanyika kwa uwazi mbele ya vyombo vya habari. Aidha, Balozi Sefue amefafanua kuwa hata kama wapo baadhi ya Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu ambao walishasaini Hati hizo, watapaswa kusaini upya mbele ya vyombo vya habari. Tukio hili pia litarushwa ‘live’ kupitia luninga. Gerson Msigwa Kaimu Mkurugenzi Mawasiliano, IKULU 31 Desemba, 2015

NEWWWWWS: 71 WATIWA MBARONI NA JESHI LA POLISI !! WAMEAFANYA NINI INGIA HAPAAAA KUJUA ZAIDI.

Image
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema limewakamata watu 71, silaha nne na dawa za kulevya katika oparesheni ya mwishoni mwa mwaka.  Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Kamishna wa Polisi Kanda hiyo, Suleiman Kova alisema Desemba 24 mwaka huu, maeneo ya Ubungo Kibo, Kinondoni, Polisi walipata taarifa kutoka kwa mwananchi ambapo walifanikiwa kumkamata mfanyabiashara, Peter Massawe (25). Kova alisema Massawe ni mfanyabiashara wa duka la nguo na mkazi wa Ubungo Rombo alikutwa na bastola aina ya Taurus, yenye namba 801340 iliyotengenezwa nchini Brazil ikiwa na risasi mbili na maganda ya risasi matatu. Kwa mujibu wa Kova, mtuhumiwa alipohojiwa alidai kuwa silaha hiyo ililetwa na Ismail Mcharo (29), dereva wa bodaboda, mkazi wa Kimara Kilungule kwa ajili ya hifadhi baada ya kuitumia katika tukio la uporaji lililotokea maeneo ya Selander Bridge. Pia alisema watuhumiwa wengine waliokamatwa ni Matola Rashid (30) m

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI YA TAREHE 31 DISEMBA UMESOMA ? KAMA BADO USICHELEWE INGIA HAPA HARAKA.

Image

KWA WATAFUTAO KAZI USICHELEWE INGIA HAPA OCEAN ROAD CANCER INSTITUTE, APPLICATION DEADLINE 12 JANUARY 2016

OCEAN ROAD CANCER INSTITUTE EMPLOYMENT OPPORTUNITY The Ocean Road Cancer Institute (ORCI) was established by the Act of Parliament No.2 of' 996.The Institute is a semi-autonomous organization which operates at "arm's length" under the Ministry of Health and Social Welfare. The Institute has various roles which all stem on the main role of controlling Cancer in Tanzania. The Institute is currently looking for competent candidates to fill the following vacancies; Job Title: Director of Technical Services-(Re-advertised) Report to: Executive Director Duty Station: ORCI- Dar es Salaam. Duties •    Manage all sections and staff under this directorate •    Provide technical advice to the Executive Director on all matters pertaining to technical services; •    Provide professional advice on effective and efficient use of the Institute's Infrastructures; •    Oversee the uses and maintenance of hospital machines; equipments and buildings;

RAIS MAGUFULI ATANGAZA SAFU MPYA YA MAKATIBU WAKUU, ELIAKIM MASWI APELEKWA TRA.

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini. ======= TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo; 1. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi - Ombeni Sefue 2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo 3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Dkt. Laurian Ndumbaro 4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu) Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu - Afya) Bernard Makali (Naibu Katibu Mkuu - Elimu) 5. Ofisi ya Makamu wa Rais Mbaraka A. Wakili ( Katibu Mkuu) Mhandisi Ngosi Mwihava (Naibu Katibu Mkuu) 6. Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Ser

KAMA UMEKAA MDA MREFU BILA KAZI INGIA HAPA, TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION. DEADLINE 15, JANUARY 2016.

CURRICULUM COORDINATOR TRAINEE (SPECIAL NEEDS EDUCATION: VISUAL IMPAIRMENT) POSITION DESCRIPTION: Source: Mwananchi 29th December, 2015 Tanzania Institute of Education (TIE) JOB VACANCIES The Institute’s Profile Tanzania Institute of Education is a dynamic and vibrant public Institution established by Act No. 13 of 1975 (CAP 142 R.E. 2002). The Institute belongs in the category of Non-university Institution of Higher Learning and is under the Ministry of Education, Science, Technology and Vocational Training. The Institute’s mandate centres on practical translationof Government policies on education into befitting curricula, curriculum-support materials including books, training in curriculum studies including in service training of teachers and educational research and consultancy. All these functions aim at facilitating provision of quality education at pre-primary, basic, secondary and teacher education levels. For more details you may visit www.tie.g

KINONDONI KIMENUKA : UCHUNGUZI DHIDI YA MHANDISI MUSSA NATTY WASUASUA.

Image
Ni kama wahusika wametishwa na hatua ya wakinga-kifua wa Mhandisi Mussa Natty. Pamoja na kurejea Dar es Salaam, kutokea babati, kwa ajili ya uchunguzi dhidi yake kwa tuhuma zinazomkabili, hadi sasa Mamlaka husika zimeshindwa kuanza uchunguzi huo. Mhandisi Mussa Natty alikuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni kabla ya kuwa Mkurugenzi wa Mji wa Babati huko mkoani Manyara alikosimamishwa kazi kupisha uchunguzi. Anakabiliwa na tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo ile maarufu ya kuuzwa kwa fukwe ya Coco. Taarifa za uhakika zinaonesha kuwa Mhandisi Natty, pamoja na kuwa na nyaraka za kutosha zinazomsafisha, anaondolewa matatizoni na Wakurugenzi wawili waliomtangulia katika Manispaa ya Kinondoni ambao ndiyo hasa waliokuwepo wakati mambo anayotuhumiwa nayo Mhandisi Natty yakitendeka. Kutokana na kuachwa kando kama washukiwa, Wakurugenzi hao wa zamani na waliomtangulia Mhandisi Natty wameonesha utayari wao 'kumtetea' Mh

HIKI NI KIASI CHA PESA KITAKACHOPELEKWA NA SERIKALI SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI KILA MWEZI BAADA YA KUFUTA ADA.!!!

Image
SERIKALI imepanga kupeleka Sh. 18.77 bilioni kila mwezi katika shule za sekondari na msingi kwa ajili ya kugharamia elimu ili kutekeleza dhana ya elimu bure kuanzia Januari, 2016. Taarifa hiyo ilitolewa Mjini Dodoma jana na Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa elimu bure. Alianisha fedha zitakazotolewa na Serikali kwa ajili ya kugharamia elimu ni pamoja na gharama za mitihani ya kidato cha nne ambazo zitatolewa moja kwa moja na Serikali katika Baraza la Mitihani (Necta). “Serikali itatoa pia ruzuku ya uendeshaji wa shule Sh. 10,000 kwa shule za msingi na Sh. 25,000 kwa shule za sekondari kwa kila mwanafunzi kwa mwaka. “Vilevile itatoa Sh. 1,500 kwa siku kwa mwanafunzi kwa shule za msingi na sekondari  kwa ajili ya chakula kwa wanafunzi wanaokaa bweni,” amesema. Simbachawene amesema pia Serikali itatoa fedha kwa ajili ya f

HAYA HAYA! INGIA HAPA KUNA NAFASI ZA KAZI NYINGI SANA AAAA NDANI YA MWALIMU JULIUS K. NYERERE UNIVERSITY OF AGRICULTURE AND TECHNOLOGY, DEADLINE 15TH JANUARY 2016

ASSISTANT PROCUREMENT AND SUPPLIES OFFICER II  POSITION DESCRIPTION: From Mwananchi, 29thDec 2015 Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology (MJNUAT) is a newly established public University that has its headquarters in Butiama and operating from other five campuses in Mara Region. MJNUAT, which is an equal opportunity institution, is inviting applications to fill the positions of academic and administrative staff as indicated below: [B] ADMINISTRATIVE POSITIONS Assistant Procurement and Supplies Officer II (1 Post): Qualifications: Diploma in Materials Management, Procurement or equivalent qualifications Terms of Employment: Successful applicants for the position of Tutorial Assistant will be employed on Permanent and Pensionable Terms for those with ages equal or less than 35 years, whereas for all other cadres the age limit shall be 45 years, Successful applicants with ages above 45 years will be engaged on contractual terms