Posts

Showing posts from April, 2016

Kigogo Aweka Majina Hewa Mradi wa Tasaf...Wananchi Wamtusua Jipu...

Image
 WANANCHI wamemkataa mwenyekiti wa kitongoji cha Mwanogi kijiji cha Bulima, Kata ya Nyashimo wilayani hapa katika Mkoa wa Simiyu, wakimtuhumu kuweka majina hewa katika mradi wa kuokoa kaya masikini unaosimamiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf). Mwenyekiti huyo wa kitongoji, Ester Ng’ombe anatuhumiwa pia kufanya kazi kwa ubaguzi wa vyama vya siasa. Akizungumza katika kikao, mwenyekiti wa kamati ya mipango na fedha ya kijiji cha Bulima, Zablon Ntinika alisema wamefikia uamuzi wa kumsimamisha kazi mwenyekiti huyo baada ya uchunguzi walioufanya kubaini majina matano ambayo ni hewa yakipatiwa fedha. Alisema wamekuwa wakifuatilia kwa karibu mwenendo wa mwenyekiti huyo katika utendaji wake wa kazi katika kitongoji hicho lakini wamebaini mengi. Mwenyekiti huyo anayetuhumiwa, alipoulizwa kuhusu madai hayo, alisema kuwa yeye hayatambui bali ni siasa za chuki dhidi yake. Ng’ombe alisema chanzo si majina feki bali ni siasa zinazochochewa na

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya April 27, Ikiwemp Majipu ya Jakaya ni Balaa

Image

Nuh Mziwanda Afunguka jinsi Alikiba AlivyomlizaNuh Mziwanda Afunguka jinsi Alikiba Alivyomliza

Image
Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi kumliza. Akizungumza na Enews Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya wiki mbili ili kumpata Kiba kwaajili ya collabo ila walivyokutana tu walipiga kazi na ikawa poa. Pia Nuh ameweka wazi kuwa amesha sahau mambo ya Shilole huku akikanusha kupotea kwenye game na kusema kuwa amepotea instagram, ila sio kwenye game.

Mwendesha Mashtaka Kataja Makosa Yaliyomfanya Siwema Ahukumiwe Miaka Miwili Jela

Image
Baada ya kuwepo kwa headlines nyingi kuhusu Siwema ambaye ni Mama Mtoto wa msanii wa bongofleva Nay wa Mitego kuhukumiwa miaka miwili jela kwa kile kilichokuwa kinaripotiwa kuwa ni makosa ya kimtandao, ukweli umewekwa wazi baada ya kufanya Exclusive Interview na wakili wa serikali Moris Mtoi, bonyeza play hapa chini kumsikia

Mahakama ya Kisutu Yafuta shtaka la Kutakatisha fedha dhidi ya Aliyekuwa bosi wa TRA, Harry Kitilya na wenzake Wawili

Image
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, leo imefuta shtaka la utakatishaji fedha (money laundering) lililokuwa likimkabili Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya sambamba na waliokuwa wafanyakazi wa Benki ya StanBic Tanzania, Sioi Sumari na Shose Sinare. Awali watatu hao walikuwa wamenyimwa dhamana. Kutokana na uamuzi huo, mawakili wao sasa wanaweza kuwaombea dhamana. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), iliwafikisha mahakamani watatu hao April 1, kwa kisa la:- Kula njama na kujipatia kwa udanganyifu kinyume na kifungu Na. 384 cha Kanuni ya Adhabu (Cap 16 R.E. 2002) ; Kughushi kinyume na kifungu Na. 333,335 (a) na 337 cha Kanuni ya Adhabu (Cap 16 R.E 2002) ; Utakatishaji wa fedha haramu kinyume na kifungu Na. 12 (a) 13 (a) cha Sheria ya ya Utakatishaji fedha Na. 12 ya Mwaka 2006 ‘Anti- Money Laundering Act’. Watuhumiwa hao walidaiwa kufanikiwa kujipatia fedha kwa njia ya kughushi dola mil

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 18

Image

DARAJA la Kigamboni Laanza Kutumika Kwa Mbwembwe...Wengine Wafanya Kama Sehemu ya Kivutio

Image
Baada ya Serikali kuruhusu matumizi ya daraja jipya la Kigamboni kwa watembea kwa miguu na magari kwa majaribio, hatua hiyo imepeleka neema kwa wakazi wa mji huo, huku ikipunguza idadi ya vyombo vya moto katika vivuko. Jana asubuhi, mwandishi wetu alishuhudia magari yakipita katika daraja hilo, kama ilivyo katika barabara zilizozoeleka za Mandela na Morogoro, huku baadhi ya madereva wakiendesha na kujipiga picha kwa simu za mkononi. Watembea kwa miguu nao hawakuwa nyuma na idadi yao ilizidi kuongezeka mchana baada ya mvua zilizokuwa zikinyesha kuisha na sehemu kubwa walionekana kama watalii waliokuwa wakipiga picha na kuzunguzunguka katika eneo hilo. “Sasa hivi mtu anakuwa na chaguo apite wapi anapoona atafanikisha safari yake kulingana na mahitaji,” alisema mmoja wa madereva waliotumia daraja hilo, Emmanuel Nzera. Alisema kufunguliwa kwa daraja hilo ni neema kwa kuwa litaondoa usumbufu wa foleni katika vivuko upande wa Kigamboni na Feri na kwamba,

Nimechanganyikiwa Nimegundua Mke wangu na Dada wa Kazi Wanasagana

Image
Yamenikuta Mie mwenzenu hata sijui nifanye nini ila kwa kifupi ni kuwa nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama House Girl Wanasagana, Bado sijamwambia mke wangu kwamba najua kwa sababu hata sijui nianzie wapi ..ila ni kwamba juzi asubuhi nilipomaliza kujiandaa kwenda kazini nikatoka ndani ila nilisahau simu hivyo nikarudi kuichukua cha kushangaza nilimkuta mke wangu hayupo chumbani kwetu kwani nilimuacha amelala basi sikujali sana nikajua yupo chooni ila wakati nataka kutoka ndani nikawa nasikia makalele ya mihemeko ya mapenzi kwa mbali hapo ndipo nilipostuka na kunyemelea chumba cha house girl wetu na ambapo sauti zilikuwa zinatokea, Nilichosikia hata sina hamu ila nikelele za ku do kabisa wakihamasishana wakijua wapo wenyewe ndani ya nyumba…kiufupi kilinishuka nikashindwa nifanye nini … Baada ya muda nilitoka nikaenda zangu kazini bila kufanya chochote huku nafikiria ni kitu gani nakosea mpaka mke wangu haridhiki na do

Nyota ya Mbwana Samatta Yazidi Kung'aaa Ligi ya Nchini Ubelgiji..Aifungia Timu yake Bao na Kuibuka Washindi...

Image
Timu anayochezea Mtanzania, Mbwana Samatta ya Genk imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Zulte-Waregem katika ligi ya nchini Ubelgiji. Katika mchezo huo, Mbwana Samatta aliweza kupachika bao kupitia dakika ya 8 ya mchezo huo ya kipindi cha kwanza. Mbali na Mbwana Samatta pia mchezo wa timu hiyo ya Genk Marvin Baudry alifanikiwa kupachika bao la pili dakika ya 15 na kufanya matokeo kuwa 2-1. Hata hivyo wapinzani hao wa akina Mbwana Samatta walifanikiwa kupata bao la kufutia machozi katika dakikaya 45, kwa njia ya penati iliyofungwa na Mbaye Leye.

Nafasi za Kazi Mohammed Enterprises Tanzania limited (METL)...Soma Hapa

Image
Mohammed Enterprises Tanzania limited, agriculture division is now hiring for the below positions. Job Vacancy: Assistant Managers and Managers  Job Vacancy: Field Officers Job Vacancy: Personnel Officers Kusoma na Kuapply Tembelea WWW.AJIRAYAKO.COM

Jealous Wife Sets Husband's Property On Fire For Attending Girlfriend's Funeral

Image
A jealous wife in a marital battle with her husband has set the man's house on fire after learning that he attended his girlfriend's funeral. The woman from Cowdray Park suburb in Bulawayo of Zimbabwe has appeared in court charged with assaulting her ex-husband and setting his property on fire for attending his alleged girlfriend's funeral. According to The Chronicle, Fortunate Ndlovu, 33, said Benjamin Mukumbira, 45, of the same suburb deserved what he got. "I do admit that I tore his blankets and poured paraffin on his bed and set them on fire after I found out that he had attended his girlfriend's funeral after I had just recently lost my twins and he had refused to take responsibility for them," said Ndlovu. "I also assaulted him with fists and slammed him against the wall and burnt his clothes for leaving me while I was pregnant." Ndlovu appeared before Western Commonage magistrate Themba Chimiso facing physica

Mange 'Sidhani Kama Kuna Rais Aliechambwa na Kutukanwa Matusi ya Nguoni Kama JK..Tanzania itamkumbuka For Freedom of Speech'

Image
Insta Blogger Maarufu Mange Kimambi ameendelea kuliongelea suala la freedom of speech kupitia mitandao..Amemzungumzia Rais Mstaafu Jakaya kama ifuatavyo.. Mangekimambi _ Na yooote aliyofanya JK one thing Tanzania itamkumbuka JK for ni Freedom of speech! Sidhani Kama kuna Raisi alichambwa na kutukanwa matusi ya nguoni Kama JK, Yani ilikuwa kama tunaishi Marekani au nchi za Ulaya kumbe TZ. Sometimes mpaka freedom ilipitiliza Ila jamaaa alikuwa Kama haoni anavyochambwa na kipindi Cha 10 years sikuona mtu kashikwa kwa kumchamba JK.. JK mpaka aliwekwa zeutamu na kina Mange Kimambi ?? Ila Yule zeutamu jamani alijua kutikisa nchi aiseee!!🏽🏽. Yani ilibidi media iingilie kati kuwasema usalama why wanaruhusu Raisi anadhalilishwa vile ndo usalama kumfatilia mwenye blog, Ila JK wala hakuwa na time yeye alikuwa zake anganiiiiiiiii. . .JK alituacha tuchongeeeee mpaka makoo yakauke yeye yuko zake vacation anakula bata maulaya hukooo .. Ila JK kibokooooooo. Ila nime

Mwanamuziki Tunda Man Apata Ajali Mbaya ya Gari Akiwa na Wenzake Watano..Taarifa za Kifo na Majerui ipo Hapa

Image
Kama ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii utakua umekutana na taarifa inayomhusisha Tunda Man kupata ajali  akiwa Mkoani iringa Asubuhi ya April 17 millardayo.com imempata Tunda Man mwenyewe na amekubali kutuelezea. Maelezo ya mwanzo ya Tunda Man amesema ‘Tulikua tunatoka Njombe baada ya kumaliza show yetu na tukasema bora tusilale tuwahi kufika Dar,tumetoka Njombe saa 10 alfajiri mimi nikawa nasikia usingizi nikamwambia mwanangu hebu tuendeshe kidogo,kufika kijiji cha Idetelo kilomita kama 20 au 30 kabla ya kufika Mafinga tukiwa tumelala tukashtuka Gari inaingia porini tukasikia mshindo mkubwa gari imepiga puuuh Dereva hapo hapo akawa amefariki‘ Tunda Man anamalizia kwa kusema ‘Tulikua watu watano kwenye gari aliyekaa mbele na Dereva amevunjika mkono na nyama zimechanika,kuna mtu aliyekua nyuma mapafu yamepasuka,Mimi nipo poa,kwa sasa hivi tuko Mafinga hapa Hospitali ya Wilaya tunaangalia taratibu za kuchukua mwili tuupeleke Kilosa kwa ndugu zake,ma

Mwigulu Nchemba aamuru afisa ardhi wilaya ya Butiama akamatwe kwa kuuza eneo la mnada

Image
Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh.Mwigulu Nchemba aagiza afisa ardhi wa wilaya ya Butiama ndg.Clavery Bitabile akamatwe mara moja na vyombo vya dola vichukue hatua kwa kosa la kuuza eneo la mnada wa upili(Mnada wa Mifugo) wa Kirumi uliopo wilaya ya Butiama. Mbali na kuuza eneo hilo na kutoa hati kwa mtu binafsi wakati tayari eneo hilo la serikali la mnada lilikuwa na hati,Bwana Bitabile amekuwa kinara wa kusababisha migogoro kadha wa kadha katika wilaya ya Butiama na jimbo la msoma vijijini kwa muda mrefu.Moja ya migogoro mikubwa anayotajwa kusababisha ni ule wa shamba la Buhemba(Mikamariro) n.k Mwigulu Nchemba akitoa agizo hilo,amesisitiza pia vyombo vya dola kufanya uchunguzi wa haraka ili mnada huo uanze kufanya kazi. Hatua hii ni mwendelezo wa ziara ya Mh.Mwigulu nchemba kukagua maeno mbalimbali yanayohusiana na wizara yake katika mikoa ya kanda ya ziwa. Jioni ya leo,Mwigulu atakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara Tarime mjini kuzungumza na wananchi

Nimegundua Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namfikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi

Image
Anasema Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namfikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi Wakuu nimekuwa na Mchumba wangu takribani miaka miwili sasa, Nikiwa katika hatua ya kukataa shauri nimuoe kabisa nimweke ndani nikapenyezewa kaumbea kutoka kwa shoga yake kuwa huyu mchumba wangu kamwambia kuwa hanipendi nilivyo ila sababu ya kuwa na mimi muda wote huo ni kwasababu namfikisha kileleni ipasavyo kitu ambacho amekikosa kwa wanaume wote ambao amewahi kuwa na mahusiano nao... Sasa Je Kweli Mwanamke wa Hivyo Napaswa Kumuoa ? Naombeni Ushauri

Usajili Bado Waendelea Radio EFM Wamnyakuwa Lady Jay Dee....Je Anaenda Kuwa Mtangazaji?

Image
Wenyewe wanasema ‘Huu Mchezo Hauhitaji Hasira.’ Ni mchezo upi huo? Usemi huu ulianza baada ya EFM kuwapora watangazaji wawili wa Clouds FM, Gerald Hando na Paul James kabla ya wao nao kuporwa mtangazaji wao, Gardiner G Habash. Na sasa movie linaendelea kunoga. Lady Jaydee anayefahamika kuwa mgogoro mzito na Clouds FM na aliyekuwa mke wa Gardiner, amejiunga na EFM katika mradi ambao ni wao pekee wanaujua kwa sasa. Sitaki kuamini kama Lady Jaydee anaweza kurejea tena kwenye kazi yake ya utangazaji lakini kwa inavyoonekana, kuna kitu wamepanga kukifanya. Jaydee alishare picha na video kadhaa zinazomuonesha akitembezwa na kutambulishwa kwenye studio za EFM. “HuuMchezoHauhitajiHasira #NdiNdiNdi Efm feat Jide,” aliandika Jide kwenye picha moja.

Meneja wa Q Chief na MB Dog Afunguka...Nimeshatumia zaidi ya Bilioni Moja Kuwasaidia Wasanii

Image
Mkurugenzi wa label ya ‘QS Mhonda Entertainment’ QS Mhonda amesema toka aanze harakati za kusimamia muziki tayari ameshatumia zaidi ya bilioni 1. 234 Mfanyabiashara huyo wa majengo ambaye label yake ya ‘QS Mhonda Entertainment’ inamsimamia, MB Dog, Q Chief, Mzee Yussuf pamoja bendi ya QS International Band, ameiambia Bongo5 Jumatano hii kuwa hela hizo amekuwa akizitumia katika nyakati tofauti tofauti. “Kusema kweli bado sijarudisha pesa yangu na tayari nimeshatumia zaidi ya bilioni 1 kwenye muziki, yaani ni kama nawasaidia tu,” alisema QS Mhonda. “Kwa hiyo hii ni sehemu ya maisha yangu kwa sababu wakati natafuta hela nilimuomba mungu anipe pesa ili na mimi niweze kuwasaidia watu kama hawa, ndicho nachokifanya sasa hivi,” Aliongeza,“Mimi nimemsimamia Nay wa Mitego, nikamnunulia gari mpya, H. Baba amepita kwangu. Pia niliwai kumleta hapa nchini JB Mpiana, project ambayo iligharimu zaidi milioni 300. Pia kuna hawa wengine kama akina Mzee Yussuf ambao hu

Tuhuma za Mwanamuziki TID Kutumia Madawa ya Kulevya...Mwenyewe Afunguka

Image
Baada ya KR kujitambulisha kuwa yeye ndiye Rais wa RADA Entertainment na Juma Nature kumpinga kwa kejeli akisema hamtambui Rais yoyote zaidi ya Rais Magufuli hatimaye TID anyoosha maelezo. T.I.D amesema muda ukifika watamuapisha rasmi KR Mulla kuwa Rais wa Radar Entertainment na kutoa sababu za kufanya kazi na KR Mulla katika label yake. Zaidi eNews ilipotaka kupata maelezo ya kina juu ya tuhuma za TID kuhusishwa na matumizi ya madawa ya kulevya, TID aligoma kusema chochote, na hata alipoulizwa juu ya tuhuma hizo kwa wasanii wengine pia TID alisema “Muda ukifika nitaongea nyie endeleeni kuongea vitu msivyovijua”.